(u la la la la la)
Rabbit, Kaka Sungura, Sudi Boy,
Sappy. hii ni ingine mzeiya!
Chorus
ulichotaka nilikupa, ukaniona bwege
sina maana, leo unataka nini tena?
u wo wo wo wo wo wo
ungejua navyo
kuchukia*4 kuchukia sana
ungejua navyo
kuchukia*4 kuchukia sana
Verse 1
tulikuwa na chemistry Baby ile
videadly
but after Bio ukawa physics sikuelewi
hii ndio inaitwa love story,
something out of a movie
kama ni ring za Ruby, nilibuy zile za
bluish
kama ni plaka ya ujuzi, ilikuwa
perfect nilioverdo it/
mabeste wake walishika nare, wengine
ata waliloose it/
juu sijawai mslap kaa Lucy, love
yangu ilikuwa ya mchuzi/
hakuna Mbrrrrrrrcha ka Mbusi, until
hivi majuzi/
nilipoanza tour kanda, 'Orutu Ya
Masudi'
nilitaka awe na life poa, after four
months Caldina
to Four bedroom mahali ataweka shoes
na dress za dinner
akaanaza kuAct funny kama
episode ya Churchill
anakaa tu Ndeeee! na pia aliquit
kazi/
analeta tu Streess kila saa ni
mahitaji/
nikapata text inasema 'i love you uko
beautiful'/
na yake inasema - 'i love you too'
(Chorus)
Verse 2
ambia mothako awache kunipigia, akina
Patricia pia/
si uwaambie kile ulifanya, ama bado
haujawaambia/
naregret kukupenda na ujue uliwaste
time yangu/
sidhani ka una roho na kama uko nayo
ni chafu/
ile frame ulibuy Maasai Market,
niliivunja nikaichoma/
ile dinner dress, viatu, vitu
ulitreasure vinoma/
anajitetea niliwacha kumpenda
nikapenda doh/
sikutaka akuwe begger, tuliidiscuss
before/
na ye akadecide kunicheza, kaa Samuel
E too
nilidhani unaClass urembo ukuja na
standards/
kumbe yeye si smart, preety cheap
kama pamba/
umenifika Hapa!Wapi? hapa!
vuta hizo crocodile tears, si
ulijifanya Mamba/
umenifika Hapa!Wapi? hapa!
ntakupa hizo vitu za nyumba, lakini
moja itakuwa ngumu
gari enda nayo lakini roho yangu
ntampa Mungu!
(Chorus)
umenifika Hapa!Wapi? hapa! *4
(Chorus)
No comments:
Post a Comment