Najua sio rahisi, kukuona raiisi,
yeeh!
lakini twajivuynia kuwa wakenya
twatoka kijiji cha mbali, mbali
kisicho na hathi
lakini twajivunia kuwa wakenya,
barua twatuma na baisikeli hivi
mpaka lini
lakini twajivunia kuwa wakenya,
hata hizo habari haziyufiki juu
hatuna radio wala tv
lakini twajivunia kuwa wakenya,
Chorus
Tuna tamani tukuone
tukuone
tukuone
tukuone raiisi
ili si na we tubonge
tubonge
tubonge yanayo tusonga sisi,
hata mvua haija nyesha mwaka jana
mifungo yetu nayo imekosa nyasi
chakula chamsaada, hakitufikii
mkee wangu naye alizalia njiani
sababu huku hospitali iko mbali
na nimoja tu
hatari gani
watoto wetu huku pia shida
elimu
elimu ya bure mahitaji yana
tushinda
ayayaya hey
Kaka yangu alokuwa tegemeo
kapoteza miguu lamu siku ya tukio
lakini tuwajivunia vunia
Chorus
Tuna tamani tukuone
tukuone
tukuone
tukuone raiisi
ili si na we tubonge
tubonge
tubonge yanayo tusonga sisi
rais tunatamani sana tukuone yani
sana
tunamengiana ya kuku ambia ukipata
barua yetu
tunakusihi utuone tuna mengi sana
yakukueleza
asante sana bwana rais
najua sio rahisi kukuona raiisi
najua sio rahisi kukuona raiisi
kukuona sio raiisi
najua sio rahisi kukuona raiisi
No comments:
Post a Comment