Thursday, 21 May 2015

WEKA WEKA BY P-UNIT

INTRO

Heeheeeeee! The illest mzee
      Aaaaah!
Puuuuuuuuuuuuuunit!
Musyoka
kama-k.

FRASHA [verse one]

Yeah[aah] mi huweka weka weka pesa kwenye banki.
Kisha na cheka utadhani na vuta bangi
Bana nko maji utathani me ni tangi
Macho nyekundu imegeuza karangi
Unanijua ujinga me sitakangi, Unanijua tracki me huwa naua
Me ni kammea utadhani me mau
[Ahh] jina kubwa nathani unanijua.
So kikundi serekali basi nani ana swali
Yani ngoma ingine kali yani tamu kama asali
So me huweka watoto me naweka
niko tribeka niko niko gage tu nawaka
nataka kuteka kisha niingie keja tu kuweka weka weka weka tena sana
najifanya nimedoze kumbe naongezaga dose
asubuhi ikifika narudi tu pale pale 

Chorus


BUGANYA [Verse two]
Buganya mi ni beshte ya kalonje
Nina mapesa nimeweka kwenye wolenje
Kuna msupa amepoteza ma kibenje
Nina kitu kwenye boxer kakonje
Kuna kale kabaruta pia kakoinje
Unakawekaga sana hivyo ndio huwaga na fanya
Mi huwaga na wakusanya waniitaga buganya
Nabadilika ka chameleoni tubonge nasema tubonge
Acha nigonge
Wanasema ninaboo wanasema sina doo
Cheki after every show nawakopeshaga doh
Na mafans wanasema bugah umeuwa show
Hawa mafala hakuna kitu wanaweza kanishow
Niko fiti joh niko fiti kidoh
Wanacheza ligi ndogo mi na cheza ligi soh
Mi na penda zile vitu bigi tena bigi-soh SO!

Chorus

Bon-I [verse three]
Ni yule kijana mbaya Zaidi mistari gaidi
Nararua hizi trucks mbaya Zaidi
Ukipenda ukipenda majina Zaidi African Doctor, yule headmaster Mi weka Zaidi
nina weka weka yani ile wega wega
Nikisonga mbele bado wana bweka bweka
Bon-I weka akibend weka
Akijyeka kama kawa  nina fyeka fyeka
Nina piga piga hadi inatetemeka
Ikitetemeka basi me na tetemesha
Tuna weka weka eeeihh! Hakuna pressure
Me naweka weka yani naongeza mbesha
Ni itagededure mtoto shebure
Ukitakaga kucheza mi na cheza sefure
Steady ready gently everyday  

Chorus




No comments:

Post a Comment