CHORUS
Nime okoka na
inanibamba mbaya
Yesu ananibamba
Mbaya
Eiiiii ananibamba mbaya
bamba bamba mbaya
bamba bamba ahh
ananibamba mbaya
ananibamba mbyaa
(come again)
Bamba mbaya haa
ananibamba mbaya
ananibamba mbyaa
MOJI :
Shetani Nyenye nyenye
Bubu
Ninakukanyaga kama
Mdudu
Yesu akisema mi nado do
Kazi tu kujibamba na kwa
Budu
Msalabani akabuy me
we ndio mso wengine joh ni
Tiny
Mambo yake laini ka maini
Aii me ameningarisha niko
shiny
HORERA!!
Ooh God kwake niko easy
easy no rush
Yes anipenda yes mi know
Dat
Can't wait for Sunday so
me go church oh God!
(CHORUS)
DIDI:
Yesaiya ...me napenda
Messiah
Tangu niokoke shetani
Anitoke wokovu inanibamba
Mbaya
Ananibamba amenipa roho
Nyeupe kama pamba
Unaweza niita ndege me
Napanda
Dhambi tumeua na
Umealikwa matanga
Haijalishi we nani
Umetoka buru ama
Wendani
Mizigo mizito ni
Jua bila yesu we
Huwezani karibu uwe ndani
bamba bamba ahh
ananibamba mbaya
ananibamba mbyaa
(come again)
Bamba mbaya haa
ananibamba mbaya
ananibamba mbyaa
BRIDGE:
Yes man (Ananimbamba mbaya)*3
Yes man (Ananimbamba mbaya)*3
Ananibambambambeng!!
Anani
Ribaribabangmbeng!!
Ananibambambambeng!!
No comments:
Post a Comment