Tuesday, 26 May 2015

UTAWALA by JULIANI





Hard ku get wadhifa una deserve bila cash ama kashfa
hii society kenye wanaeza share ni nyungu ya busa ama kettle ya shisha

Mfuko unasikia echo
utajua thamani ya mali na size ya kifuli
hujaibiwa juu hauna ka kitu worth risking jail time, police bullets for

unaeza argue crime doesn't pay lakini huezi dismiss justice ina bei
mwizi ana fourty days, 365 days later anaendelea ku grow fatter

Do anything for power, ready to loose their head for presidency bora waione kwa currency

sababu gani siko affected na turbulance nikifly angani
nimezoea the same feeling matatu zikipitia pothole mtaani

CHORUS
Niko njaaa hata siezi karanga
hoehae shaghala bhaghala niko tayari kulipa gharama
sitasimamaa maovu yakitawala sitasimama maovu yakitawala
Ufisadi, ibinafsi ukabila
kuuza sura wataki kuuza sera
Undugu nikufaana
sitasimama maovu yakitawala siatasimama maovu yakitawala

Ndio wa raise funds itabidi u raise hands
growing concerns
breakfast za croissants

hatutaki upunguze bei ya bidhaa
tunataka opportunities ndio tu afford hizo bidhaa

walisema kutembea kwingi ndio kuona mengi
nimeshinda nikitembea ma ofisi  nasijawai ona kazi

siezi cheza Golf venye tiger would
mambo si bara bara chin wu

Naomba journey mercies chakula ifike tumboni ikitoka kwa sahani

Policeman anapiga rungu mwalimu, daktari anamrushia teargas
na mtoto wake anarudishwa nyumbani hana school fees analipwa peanuts.

CHORUS

Sewer za state house na latrine za ghetto ziupatana Nairobi river

No more nita live by hand to mouth
ushawai sikia maskini anaugua gout

Nikiwa na nguvu ya kung'oa reli definately kuinua kura si nzito ukiingiza kwa ballot box
chagua kiongozi wa kweli
Moha, John Allan Namu jicho pevu wakianika mkono refu inapick pocket wanyonge

Navaa mask ka goal keeper wa Hockey waezi ni kerubo

Kenya ni kama Boxing hakuna sub
work with what we have.




No comments:

Post a Comment